Tumia kipawa chako kuhudumu

Jitolee. Jifunze. Hudumu.

Jiunge na timu inayosaidia injili kusikika na kuonekana kwa ubora— kanisani, mtandaoni na katika jamii yetu.

Matangazo mubashara
Kamera na video
Sauti na taa
Ubunifu wa picha

Hatua ya 1 kati ya 4

Karibu

Inahitajika

Anza safari ya huduma

Fomu ya kujitolea

Fomu hii imeandaliwa na Idara ya Mawasiliano ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Zanzibar Central.

Tafadhali ijaze ikiwa unatamani kuwa mmoja wa wanatimu watakaohudumu katika uratibu wa mahubiri mubashara, utengenezaji wa vipeperushi vya matangazo, uhariri wa picha na video, au uendeshaji wa mitambo ya sauti na taa.

Itakuchukua takribani dakika 4–6.